Kituo cha afya Engarenaibor chapata ‘ambulance’ ya Kisasa

ARUSHA: ZAIDI ya wakazi 30,000 wa vijiji 11 vya Tarafa ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha wameondokana na changamoto kusaka usafiri kwa mama wajawazito na watoto baada ya serikali kupeleka gari ya wagonjwa ya kisasa yenye thamani ya Sh milioni 350 katika kituo cha afya cha Engarenaibor kilichopo Longido mkoani Arusha. Kituo cha afya hicho … The post Kituo cha afya Engarenaibor chapata ‘ambulance’ ya Kisasa first appeared on HabariLeo .