SHINYANGA: WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amewaeleza wachimbaji wadogo kuwa leseni zao ambazo zitaisha muda wake mwezi Januari 2026, hawatanyang’anywa kama wanavyodhania bali zihuishwe waendelea kuzitumia bila usumbufu. Mavunde amesema hayo kwenye mkutano wa hadhara na wachimbaji wadogo katika mgodi wa Mwakitolyo uliopo Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga huku akiwaeleza kuwa ni marufuku mtu yoyote … The post Mavunde awapa matumaini mapya wachimbaji wadogo first appeared on HabariLeo .