“TUNASHUKURU serikali imejitahidi kupitia vikao mbalimbali, wakiwemo wadau mbalimbali ambao ni madereva na matunda tunayaona. Luzicargo na tenki (malori ya mizigo yasiyo ya kontena) badala kwenda Sumbawanga Road wanavuka moja kwa moja, kilichobaki ni ‘container’ naamini magari yanayobeba makontena nayo yatapatiwa ufumbuzi.” Anasema Rais wa Chama cha madereva cha Mkombozi Drivers African Group (MDAG) katika … The post Dawa ya msongamano wa malori mpakani Tunduma ‘inazidi kuiva’ first appeared on HabariLeo .