KATIKA mwambao wenye utulivu wa Ziwa Nyasa mkoani Ruvuma, eneo ambalo mara nyingi husimuliwa kwa mandhari yake ya kuvutia, rasilimali za kipekee na watu wake wenye bidii, upepo wa matumaini umeanza kuvuma upya. Sababu ni ziara ya kikazi ya Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Agnes Kayola aliyewasili wilayani humo kusaka, kubaini na kuhamasisha matumizi ya … The post Ziara ya Balozi nchini Malawi yaibua fursa, kusisimua uwekezaji first appeared on HabariLeo .