Mkoa wa Lindi; mafanikio lukuki sekta ya kilimo

DESEMBA 11, mwaka huu katika Manispaa ya Lindi, kulifanyika Kongamano la Wataalamu wa Kilimo na Ushirika. Kongamano hilo liliwashirikisha maofisa ugani, ushirika, maofisa kilimo ngazi ya mkoa, wilaya pamoja na viongozi wa taasisi mbalimbali ikiwemo vyama vikuu vya ushirika vya Runali na Lindi Mwambao. Wengine walioshiriki kongamano hilo ni wakurugenzi wa halmashauri za wilaya za … The post Mkoa wa Lindi; mafanikio lukuki sekta ya kilimo first appeared on HabariLeo .