Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limekanusha vikali taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook na Instagram, zinazodai kuwa gari la Polisi lilimgonga mwananchi na kusababisha kifo chake katika eneo la Kongowe wilayani Kibaha, likieleza kuwa madai hayo hayana ukweli wowote. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, […] The post Polisi Wakana Taarifa za Gari la Polisi Kusababisha Kifo cha Mwananchi Kongowe – Video appeared first on Global Publishers .