Askofu Bagonza: Mungu ndiye tumaini la kweli kwa kanisa na Taifa

Askofu huyo amesema fedha, silaha, vyeo, umaarufu na mitandao ya mahusiano havijaweza kutoa uhakika wa usalama na amani ya kweli, jambo linaloifanya jamii kutamani kupata cha kuamini bila kusalitiwa.