Meya wa Jiji la Zanzibar, Kamal Abdulsatar Haji, amesema mafanikio ya Baraza la Jiji yanategemea zaidi ushirikiano na heshima katika kutekeleza majukumu yake.