Mkuu wa Chuo cha Theolojia St. Marks afariki dunia ajalini

Taarifa imeeleza Desemba 25, 2025, Dayosisi ya Dar es Salaam itaandaa mwili wa marehemu na jioni utapelekwa Chuo cha Theolojia cha St. Marks kwa ajili ya mkesha.