MAMLAKA ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) imeidhinisha matumizi ya toleo la vidonge vya dawa ya kupunguza uzito ya Wegovy, hatua inayofungua ukurasa mpya katika matibabu ya unene kupita kiasi. The post FDA yaidhinisha kidonge Wegovy kupunguza uzito first appeared on HabariLeo .