Msanii maarufu kutoka Guinea, Moussa Sandiana Kaba maarufu kama Grand P, amerudiana na aliyekuwa mpenzi wake, mwimbaji na mwanamitindo mashuhuri wa Ivory Coast, Eudoxie, baada ya kipindi cha wao kutengana kilichozua gumzo kubwa mitandaoni. Dalili za kurejea kwa penzi hilo zimeonekana wazi kupitia machapisho mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, ambapo wawili hao wameonekana wakifurahia muda […] The post Grand P Arudiana na Eudoxie, Waanika Tena Penzi Lao Mitandaoni appeared first on Global Publishers .