Rais Mwinyi azindua Mji wa Dk. Hussein Mwinyi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameuzindua rasmi Mji wa Dk. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi, na kuutaka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) kuendelea kujikita katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo yenye tija kwa Taifa. The post Rais Mwinyi azindua Mji wa Dk. Hussein Mwinyi first appeared on HabariLeo .