Rais Samia Akutana na kuzungumza na Waziri Mkuu Mwigulu Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 23 Desemba, 2025. UJUMBE wa RC KATAVI KUELEKEA SIKUKUU za CHRISMASS na MWAKA MPYA 2026… The post Rais Samia Akutana na kuzungumza na Waziri Mkuu Mwigulu Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar appeared first on Global Publishers .