Mvutano zawadi aliyopewa Askofu Sepeku kuamuliwa Mahakama ya Rufani
Mvutano baina ya familia ya Askofu Mkuu wa kwanza wa Kanisa Angalikana Dayosisi ya Dar es Salaam na Tanzania, marehemu John Sepeku, kuhusu zawadi ya shamba la ekari 20 alilopewa na dayosisi hiyo sasa utahitimishwa na Mahakama ya Rufani.