Madereva wamulikwa kuelekea mwishoni mwa mwaka

Kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka, madereva wakiwamo wa mabasi ya abiria, wametakiwa kuzingatia sheria za barabarani ili kuepuka ajali na kuokoa maisha.