KIGOMA: SERIKALI imesema mikopo inayotolewa kutoka kwenye mapato ya ndani ya halmashauri za Mkoa Kigoma imekuwa chachu katika kutengeneza ajira kwa vijana, kuchochea uchumi na biashara kwa wakazi wa mkoa huo. Katibu Tawala wa Wilaya Kigoma, Mganwa Nzota shayo amesema hayo wakati akizungumza katika hafla ya kukibidhi pikipiki sita kwa vikundi viwili vya vijana na … The post Mikopo ya halmashauri yawa kichocheo ajira kwa vijana first appeared on HabariLeo .