Wadau waomba vituo upimaji watoto wenye ulemavu

MOROGORO: WADAU wa maendeleo ya sekta ya elimu wameiomba serikali kujenga vituo vya ubainishaji na upimaji kwa watoto wenye ulemavu na mahitaji maalumu ngazi ya halmashauri ili kuwafikia watoto wengi zaidi wanaotakiwa kujiunga na shule za awali na msingi. Wametoa rai hiyo mjini Morogoro katika kikao cha tathmini na kukabidhi mradi wa elimu jumuishi (TASK … The post Wadau waomba vituo upimaji watoto wenye ulemavu first appeared on HabariLeo .