DAR ES SALAAM: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Hamadi Yussuf Masauni amesema waandishi wa habari wanawajibu kusimamia taarifa zinazojenga Muungano na kuondoa upotoshaji unaoweza kusababisha mgawanyiko. Masauni amesema vyombo vya habari vina umuhimu wa kuhakikisha taarifa zinazochapishwa ni sahihi, zenye vyanzo vya kuaminika, kuandaa mijadala yenye tija, isiyo na jazba wala … The post Wahariri wapewa elimu kuhusu Muungano first appeared on HabariLeo .