Waombaji 14,433, miongoni mwao 134 wa elimu ya juu, wamechaguliwa kujiunga na mafunzo katika vyuo vya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta).