Amani kipaumbele kwa wafanyabiashara ndogo

DAR ES SALAAM: Amani na mshikamano wa kitaifa ni kipaumbele kikubwa kwa vijana wajasiriamali na wafanyabiashara ndogo, huku wakionya kwamba mgawanyiko wa kisiasa na vurugu unaathiri moja kwa moja maisha yao na biashara. Adam Ally, kijana mwenye biashara ya nguo Sinza, anasema utulivu wa kisiasa unakuza wateja, biashara inakua na inawawezesha kupanga maisha yao. Mgawanyiko … The post Amani kipaumbele kwa wafanyabiashara ndogo first appeared on HabariLeo .