Polisi Mbeya kutumia doria zaidi ya moja, yaonya upigaji fataki

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema litafanya misako ya doria za magari, pikipiki na kutumia wanyama kazi (mbwa), katika kuimarisha ulinzi sikukuu ya Krismasi sambamba na kutoa maelekezo ya wamiliki wa fukwe, kumbi za starehe.