SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limeongeza safari za treni na kuongeza mabehewa katika safari za reli ya kisasa (SGR), reli ya kati kwenda Mwanza na Kigoma na mikoa ya Kaskazini. Akizungumza na gazeti la HabariLEO, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano wa shirika hilo, Fredy Mwanjala alisema kuwa TRC imeongeza seti ya pili ya … The post TRC yaongeza safari, mabehewa first appeared on HabariLeo .