WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Leonard Akwilapo amesema wizara yake haitaki watumishi wa sekta ya ardhi kuwa sehemu ya migogoro ya ardhi nchini. Dk Akwilapo alitoa kauli hiyo wilayani Masasi wakati alipowasili na kupokewa kwa mara ya kwanza tangu ateuliwa kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. “Kuanzia sasa … The post Akwilapo: Watumishi wasiwe sehemu ya migogoro ya ardhi first appeared on HabariLeo .