SHINYANGA: WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amesema leseni za uchimbaji madini hazitatolewa kwa mmoja mmoja, bali vijana wanapaswa kuunda vikundi ili wapate leseni na kuwa wamiliki wa migodi wasiishie kutumikishwa. Mavunde amezungumza hayo jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika machimbo ya mgodi mdogo uliopo kwenye kijiji cha Msasa mkoa wa kimadini Mbogwe ambapo amewaeleza … The post Mavunde: Leseni za madini kwa vikundi, si mtu mmoja first appeared on HabariLeo .