Gabo Zigamba: Jifunze kwa aliyekutangulia

MSANII wa Bongo Movie, Gabo Zigamba, amewataka watu kuacha chuki kwa wale waliowatangulia katika maisha au taaluma zao. Akiandika katika ukurasa wake wa Instagram, Gabo amesema watu ambao waliokuzidi kitaaluma ama uzoefu watumiwe kama sehemu ya kujifunza. The post Gabo Zigamba: Jifunze kwa aliyekutangulia first appeared on HabariLeo .