Kizimbani akituhumiwa kumbaka ‘x’ wake, kupiga chabo watu wakiwa faragha

Miongoni mwa mashtaka 56 yanayomkabili Young, ambaye ni raia wa Uingereza anatuhumiwa pia kwa kosa la kuchungulia watu faraghani (voyeurism), kumiliki picha chafu za watoto na kumiliki picha zenye maudhui ya ukatili.