Indonesia yaweka Dola Bilioni 1 kwenye BRICS

INDONESIA imeweka wazi dhamira yake ya kuimarisha ushirikiano wa kifedha kwa nchi zinazoendelea kwa kutangaza mchango wa dola bilioni 1 kwenye Benki ya Maendeleo ya BRICS (NDB). The post Indonesia yaweka Dola Bilioni 1 kwenye BRICS first appeared on HabariLeo .