NGOs zatakiwa kufikisha fedha za misaada kwa walengwa

KIGOMA; TAASISI zisizo za kiserikali mkoani Kigoma zimeomba fedha kwa wahisani ili kusaidia jamii zenye uhitaji zimetakiwa kuhakikisha misaada ya fedha na vitu mbalimbali vinavyoombwa vinawafikia wahitaji. Kiongozi wa wanajadi duniani wenye asili ya Afrika, Mwami Lukoko alisema hayo katika kusanyiko la Mwaka la wanajadi (Elombee) lililofanyika mkoani Kigoma juzi na kuhudhuriwa na washiriki kutoka … The post NGOs zatakiwa kufikisha fedha za misaada kwa walengwa first appeared on HabariLeo .