POLISI YAWAHIMIZA WANANCHI KUZINGATIA USHIRIKIANO NA TAHADHARI KIPINDI CHA SIKUKUU MTWARA

Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limewahimiza wananchi kuendelea kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuzingatia sheria na kutoa taarifa za kiusalama, ili kudumisha amani na utulivu wakati wa sikukuu za Krismas na Mwaka Mpya. Wito huo umetolewa leo Disemba 24,2025 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, SACP Issa Sulemani wakati akizungumza na […] The post POLISI YAWAHIMIZA WANANCHI KUZINGATIA USHIRIKIANO NA TAHADHARI KIPINDI CHA SIKUKUU MTWARA appeared first on Jambo TV Online .