Wawili wakutwa na kesi ya kujibu, wakituhumiwa kusafirisha bangi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemkuta na kesi ya kujibu Kulwa Mathias na mwenzake Edina Paul, wanaokabiliwa na shtaka moja la kusafirisha bangi.