Ahukumiwa miaka 40 jela kwa kuzini na mwenye changamoto ya akili

Mkazi wa Wilaya ya Momba, mkoani Songwe, Yaledi Sinkala (38) amehukumiwa kifungo cha miaka 40 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuzini na maharimu (ndugu) mwenye changamoto ya afya ya akili.