Menejimenti Temesa kikaangoni

Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, ameagiza kufutwa kazi na kufikishwa katika vyombo vya sheria kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (Temesa), Lazaro Kilahala, na menejimenti ya wakala huo kutokana na tuhuma za ubadhilifu wa zaidi ya Sh2.5 bilioni.