Mahakama yafuta sharti Waislamu wote kutambulishwa na Bakwata
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imefuta sharti la Waislamu wote kutakiwa kuwa na barua ya Baraza Kuu la Waislamu (Bakwata) inayowatambulisha wanapohitaji kupata huduma mbalimbali hususan kusajili taasisi za kidini.