Helkopta yaanguka mlima Kilimanjaro, watano wafariki

Helkopta ya kampuni ya uokoaji ya KiliMediaur Aviation imepata ajali maeneo ya kati ya Kibo na Barafu Camp katika Mlima Kilimanjaro na kusababisha vifo vya watu watano.