Waliofariki ajali ya Helikopta Mlima Kilimanjaro, watambuliwa

Kamanda Maigwa amesema helikopta hiyo ilikua na watu watano ambao ni Costantine Mazonde raia wa Zimbabwe ambaye alikuwa rubani, Jimy Daniel aliyekuwa daktari na Inocent Mbaga ambaye ni muongoza watalii (Guide).