Askofu Ruwa'ichi: Watanzania hawashabikii haki, siyo wadau wa haki

Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thaddeus Ruwa'ichi, amesema Watanzania wengi hawashabikii haki wala siyo wadau wa haki.