Toyota Prius imekuwa mfano wa ubunifu katika sekta ya magari duniani kutokana na mfumo wake wa Hybrid Synergy Drive, unaounganisha injini ya petrol na motor ya umeme. Gari hili limejulikana kwa kutumia mafuta kidogo, utulivu barabarani, na teknolojia rafiki kwa mazingira, jambo ambalo limeifanya kuwa chaguo la kwanza kwa watu wanaotaka usafiri wa kisasa, salama, […] The post Fahamu Maajabu ya Toyota Prius na Namna Inavyotumia Teknolojia ya Umeme (EV Mode) – Video appeared first on Global Publishers .