Watano Wafariki Ajali ya Helikopta Juu ya Mlima Kilimanjaro

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro kupitia Kamanda wa Polisi (RPC), Simon Maigwa, limethibitisha vifo vya watu watano waliopoteza maisha katika ajali ya helikopta iliyokuwa imekwenda kuwachukua watalii katika Mlima Kilimanjaro. Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), helikopta hiyo ilianguka kwenye eneo la barafu, juu ya Mlima Kilimanjaro, majira ya saa […] The post Watano Wafariki Ajali ya Helikopta Juu ya Mlima Kilimanjaro appeared first on Global Publishers .