Makamu wa Rais Nchimbi Aadhimisha Krismasi Parokia ya Mt. Petro, Oysterbay

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameungana na waumini mbalimbali katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Noeli (Krismasi) lililofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro, Oysterbay, jijini Dar es Salaam, tarehe 25 Desemba 2025. Makamu wa Rais alishiriki ibada hiyo pamoja na viongozi wa kanisa […] The post Makamu wa Rais Nchimbi Aadhimisha Krismasi Parokia ya Mt. Petro, Oysterbay appeared first on Global Publishers .