Jamii imeaswa kutenda matendo mema, hususan kuwahudumia watu wenye uhitaji wakiwemo yatima, wajane na watu wasio na uwezo, katika msimu huu wa sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya. Wito huo umetolewa na Sospete Kinasa kutoka Shirika la Bima la Milembe Insurance, tawi la Geita Mjini, wakati wakitoa zawadi za Krismasi kwa kituo cha watoto yatima […] The post MILEMBE INSURANCE YAGUSA MAISHA YA WATOTO YATIMA GEITA appeared first on Jambo TV Online .