Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba, Jamal Dadi, amekabidhi msaada wa vyakula na mahitaji mbalimbali vyenye thamani ya Shilingi milioni 2 kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha Mbingu Sisters,ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, la kuwajali watoto wenye mahitaji […] The post SERIKALI YA WILAYA YA MLIMBA YAGUSA MAISHA YA WATOTO YATIMA appeared first on Jambo TV Online .