Papa Leo XIV ahimiza Krismasi ya 2025 kuzingatia amani

Papa Leo XIV katika salamu zake kwa Sherehe za mkesha wa Krismasi, amesema Sikukuu ya Noeli ni kwa ajili ya kutangaza na kuhubiri amani duniani kote.