Wanne wafariki kwa kuangukiwa na ukuta kanisani

Watu wanne wamepoteza maisha na wengine 17 kujeruhiwa baada ya kuangukiwa na ukuta wa Kanisa.