RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka Wakristo na Watanzania wote kuitumia Sikukuu ya Krismasi kama fursa ya kuimarisha upendo, unyenyekevu na kusaidiana, ili kuendeleza mshikamano na umoja wa kitaifa. The post Krismasi itukumbushe upendo, unyenyekevu na kusaidiana first appeared on HabariLeo .