DPP wafutia kesi ya uhaini vijana saba, washukuru kwa staili yao

Vijana hao ni waliokuwa wanakabiliwa mashtaka mawili ikiwemo kula njama na kutenda kosa la uhaini.