Sh milioni 90 kuleta neema ya maji Sinonik

LONGIDO: Fedha Sh milioni 90 zimechangwa ili kuvuta maji kutoka chanzo cha maji kilichopo kata ya Sinonik, Wilaya ya Longido kwa lengo la kuwahakikishia wananchi wa kata hiyo maji safi na salama. Kiasi hicho cha fedha kitawezesha pia mabomba, ujenzi wa tanki lita 100,000 na ujenzi eneo la maji ya mifugo. Fedha hizo zimechangwa na … The post Sh milioni 90 kuleta neema ya maji Sinonik first appeared on HabariLeo .