Diddy aomba rufaa kupinga kifungo chake gerezani

MSANII maarufu wa muziki wa rap, Sean “Diddy” Combs, ameomba Mahakama ya Rufaa ya Marekani imwachilie huru na kutengua hukumu yake ya kifungo cha miezi 50 gerezani alichohukumiwa kutokana na makosa mawili yanayohusishwa na ukahaba. The post Diddy aomba rufaa kupinga kifungo chake gerezani first appeared on HabariLeo .