Askofu Mollel: Sherehekeeni Krismasi, mkumbuke ada za watoto Januari

Amesema leo ni sikukuu ya kufurahia na familia pamoja na kuwakumbuka watu wenye mahitaji mbalimbali.