Rais Museveni awashangaza wengi Hoima City

RAIS wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amezindua rasmi Uwanja wa Hoima City wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 20,000, sehemu ya maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, litakaloandaliwa kwa pamoja na Uganda, Kenya na Tanzania. The post Rais Museveni awashangaza wengi Hoima City first appeared on HabariLeo .