MTWARA: JESHI la Polisi mkoani Mtwara kwa kushirikiana na wananchi pamoja na vyombo vingine vya dola limesema kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka Krismasi na mwaka mpya usalama wa wakazi wa mkoa huo ni shwari. Akizungumza Desemba 24, 2025 mkoani Mtwara, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara SACP Issa Sulemani amesema jeshi hilo … The post Polisi Mtwara wajipanga usalama Krismasi first appeared on HabariLeo .